Home NECTA Ratiba ya Mtihani wa Taifa Kidato cha Nne 2025 – NECTA Form...

Ratiba ya Mtihani wa Taifa Kidato cha Nne 2025 – NECTA Form Four

1023
0

Kwa mwaka wa masomo 2025, Ratiba ya Mtihani wa Taifa Kidato cha Nne – Form Four imepangwa kuanza tarehe 10 Novemba na kukamilika tarehe 28 Novemba 2025. Mitihani itafanyika katika vipindi viwili kila siku — kipindi cha asubuhi na cha jioni — ambapo masomo ya kitaaluma na mitihani ya vitendo itapangwa kulingana na ratiba rasmi iliyotolewa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA).

Ratiba ya Mtihani wa NECTA kidato cha Nne 2025

Wanafunzi wanashauriwa kuzingatia ratiba hii kwa umakini, kupanga vyema muda wao wa kujisomea, na kuhakikisha wanatimiza masharti yote ya mitihani ili kuepuka changamoto au kuchelewa siku ya mtihani.

PAKUA HAPA RATIBA MPYA 17/11/2025

Incase your browser not showing or failed to view attached PDF file above Bonyeza Hapa Kupakua PDF ya Ratiba ya Kidato cha Nne 2025

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here