LATEST ARTICLES

Yanga v Simba: Dabi ya Seleman Mwalimu leo?

0

Yanga na Simba zinakutana leo Jumatano katika Uwanja wa New Amaan Complex kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii, lakini kabla hata ya mpira kuanza, jina la Seleman Mwalimu limeuteka mchezo huo na kuufanya kuwa zaidi ya pambano la kutafuta taji la kwanza la msimu. Mwalimu, ambaye hadi siku mbili kabla alikuwa mchezaji wa Simba, amehamia Yanga katika dakika za mwisho...

MAJINA WALIOITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 11-08-2026

0

DOWNLOAD PDF HAPO CHINI​ TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 11-08-2026​

MAJINA WALIOCHAGULIWA VYUO VYA AFYA NACTVET 2026/2027

0

MATOKEO YA UCHAGUZI WA UDAHILI KUPITIA MFUMO WA UDAHILI WA PAMOJA (CAS) KWA KOZI ZA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027 - AWAMU YA KWANZA ANGALIA HAPA

Tangazo La Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma 31-07-2026

0

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 28-07-2025 na tarehe 25-07-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya...

RITA Taarifa Binafsi Za Mwombaji Wa Cheti Cha Kuzaliwa

2

TAARIFA BINAFSI ZA MWOMBAJI WA CHETI CHA KUZALIWA Majina matatu Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Email address Kazi Ndoa Kama alizaliwa mmoja, mapacha au zaidi Uzito wa mtoto alipozaliwa (sio lazima) Elimu ya mwombaji Shahidi wakati wa kuzaliwa (doctor, nurse,...

Tangazo La Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma 28-07-2026

0

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 28-07-2025 na tarehe 03-06-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya...

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 27-07-2026

0

PAKUA PDF HAPA CHINI TANGAZO LA KUITWA KAZINI OFISI YA MKUU WA MKOA KAGERA 27-07-2026​ TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 27-07-2026

MAJINA YA WANAFUNZI 1000 WANAOTAKIWA KUOMBA UFADHILI WA SAMIA (STEM) SCHOLARSHIP 2026/2027

0

MAJINA YA WANAFUNZI 1,000 WENYE UFAULU WA JUU ZAIDI KWENYE TAHASUSI ZA PCB, PCM, CBG, PGM, CBA, PMC NA CBN KATIKA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2026 WANAOTAKIWA KUOMBA UFADHILI WA SAMIA (STEM) ANGALIA HAPO CHINI DOWNLOAD PDF HAPA

Jinsi ya Kujisajili kama Private Candidate NECTA Form Six 2027/2028

0

Fahamu Jinsi Ya Kujisajili Kama Private Candidate Kufanya Mtihani Wa Necta Form Six Watu wote wanaotarajia kufanya Mtihaniwa Kidato cha Sita (ACSEE) kama Watahiniwa wa Kujitegemea; 1. Kipindi cha usajili kwa Watahiniwa wa Kujitegemea huanza mwezi wa 7 na huisha mwezi wa 9. Ada ya usajili ni Shilingi 50,000/=, watakaojisajili kwa kuchelewa yaanikuanzia tarehe mwezi wa 10 watalipa Shilingi 65,000/= ikiwa...

Taarifa kwa Umma Kupanda kwa Nauli Za Usafiri Zanzibar Leo

0

Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, Dkt. Khalid Salum Muhammed ametangaza kupanda kwa bei za nauli za usafiri kwa asilimia 16, ambapo nauli ya safari za kilomita moja hadi 12 imepanda kutoka shilingi 500 hadi shilingi 700. Amesema kwa safari za umbali mrefu kuanzia kilomita 60 hadi 70, nauli itakuwa shilingi 3,000 tofauti na awali iliyokuwa shilingi 2,500. Dkt. Khalid...