Home KOZI ZA VYUO VIKUU Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Pharmacy (BPharm)

Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Pharmacy (BPharm)

8
0

Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Pharmacy (BPharm) (ngazi ya degree).

Pass tatu kutoka katika masomo ya Physics, Chemistry na Biology zenye pont zisizopungua 6. Mwombaji angalau awe na “D” kwenye somo la Chemistry, Biology and Physics.

Jinsi ya Kupata Points

Kwa Waliomaliza A’ Level kabla ya 2014

(A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1; S = 0.5)

Kwa Waliomaliza A’ Level 2014 and 2015

A = 5; B+ = 4; B = 3; C= 2; D = 1; E = 0.5)

Kwa Waliomaliza A’ Level 2016 mapaka sasa

A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1; S = 0.5)

Angalizo

Sifa na vigezo hutofautiana kulingana na chuo pamoja na nafasi zinazopatikata kulingana na ushindani uliopo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here