Home RITA RITA Taarifa Binafsi Za Mwombaji Wa Cheti Cha Kuzaliwa

RITA Taarifa Binafsi Za Mwombaji Wa Cheti Cha Kuzaliwa

70
0

TAARIFA BINAFSI ZA MWOMBAJI WA CHETI CHA KUZALIWA

  1. Majina matatu
  2. Tarehe ya kuzaliwa
  3. Namba ya simu
  4. Email address
  5. Kazi
  6. Ndoa
  7. Kama alizaliwa mmoja, mapacha au zaidi
  8. Uzito wa mtoto alipozaliwa (sio lazima)
  9. Elimu ya mwombaji
  10. Shahidi wakati wa kuzaliwa (doctor, nurse, ndugu au kiongozi wa jadi)

 ALIKOZALIWA MWOMBAJI

  1. Mkoa
  2. Wilaya
  3. Kata
  4. Mtaa
  5. Hospitali

 ANAPOISHI MWOMBAJI

  1. Nchi
  2. Mkoa
  3. Wilaya
  4. Kata
  5. Mtaa
  6. Anuani (mfano 12 Iringa)

 TAARIFA ZA WAZAZI

  1. Majina matatu ya Mama
  2. Majina matatu ya Baba
  3. Namba zao za simu
  4. Kazi
  5. Yuko hai?
  6. Nchi waliozaliwa
  7. Tarehe ya kuzaliwa Mama
  8. Tarehe ya kuzaliwa Baba
  9. Namba ya cheti cha kuzaliwa (kama ipo)
  10. Kiwango cha elimu

 WANAPOISHI WAZAZI

  1. Nchi
  2. Mkoa
  3. Wilaya
  4. Kata
  5. Mtaa
  6. Anuani

 MAHALI PAKUCHUKULIA CHETI

1.Mkoa

2.Wilaya

 KWA APPLICATION KARIBU 0652372705

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here