1. Kupata Cheti cha Kuzaliwa
2. Kubadilisha Cheti cha Kuzaliwa (Old to New Birth Certificate)
3. Kuhakiki Cheti cha Kuzaliwa
4. Kupata Cheti cha Kifo
5. Kuhakiki Cheti cha Kifo
Tembelea Tovuti ya RITA:
Fungua kivinjari na nenda kwenye tovuti rasmi ya RITA.
Tafuta Sehemu ya Portal:
Bonyeza kiungo cha “Portal” au “Ingia” kwenye ukurasa...