Home HABARI ZA MICHEZO Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Prosthetic...

Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Prosthetic and Orthotics (BSc PO)

6
0

Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Prosthetic and Orthotics (BSc PO)

Pass 3 kutoka kwenye masomo ya Physics, Chemistry na Biology yenye jumla ya angalau point 6. Mwombaji lazima awe na ufaulu angalau wa “C” kwenye somo la Chemistry na angalau “D” somo la Biology na “E” somo la Physics.

Jinsi ya Kupata Points

Kwa Waliomaliza A’ Level kabla ya 2014

(A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1; S = 0.5)

Kwa Waliomaliza A’ Level 2014 and 2015

A = 5; B+ = 4; B = 3; C= 2; D = 1; E = 0.5)

Kwa Waliomaliza A’ Level 2016 mapaka sasa

A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1; S = 0.5)

Angalizo

Sifa na vigezo hutofautiana kulingana na chuo pamoja na nafasi zinazopatikata kulingana na ushindani uliopo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here