Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Bachelor of Science in Radiation Therapy Technology (BScRTT)
Pass 3 kutoka kwenye masomo ya Physics, Chemistry na Biology yenye jumla ya angalau point 6. Mwombaji lazima awe na ufaulu angalau wa “C” kwenye somo la Chemistry na angalau “D” somo la Biology na “E” somo la Physics.
Jinsi ya Kupata Points
Kwa Waliomaliza A’ Level kabla ya 2014
(A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1; S = 0.5)
Kwa Waliomaliza A’ Level 2014 and 2015
A = 5; B+ = 4; B = 3; C= 2; D = 1; E = 0.5)
Kwa Waliomaliza A’ Level 2016 mapaka sasa
A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1; S = 0.5)
Angalizo
Sifa na vigezo hutofautiana kulingana na chuo pamoja na nafasi zinazopatikata kulingana na ushindani uliopo.









