AINA YA MIFUMO YA MATOKEO TULIYONAYO, GHARAMA ZAKE PAMOJA NA MAELEZO MENGINE.
- MIFUMO YA MATOKEO, ANALYSIS & REPORT FORM
- Mfumo huu unapatikana kwa gharama ya tsh 30,000/=
- Baada ya mtumiaji kuingiza majina na alama za wanafunzi, mfumo utachakata matokeo ya wanafunzi automatically na kukupatia outputs zifuatazo.
- Report form ya kila mwanafunzi mmoja iliyojazwa automatically na mfumo.
- Mkeka wa matokeo ya jumla, wenye kila kitu ikiwepo division na points kwa secondary ama Average na Grades kwa Secondary
- Uchambuzi wa matokeo(analysis) kwa masomo yaani kila somo lina A ngapi, B ngapi n.k hali kadhalika itaonyesha GPA ya somo kwa secondary ama wastani wa somo kwa primary.
- Mfumo utakupatia uchambuzi wa matokeo ya jumla yaani DIVISION kwa secondary ama GRADES kwa primary. vile vile mfumo utafanya tathmini yakinifu kwa kuweza kufanya calculation ya K.P.I
- Mfumo utakupatia List ya wanafunzi 20 bora na list ya wanafunzi 20 dhaifu.
- MIFUMO YA MATOKEO NA ANALYSIS
- Mfumo huu unapatikana kwa gharama ya tsh 15,000/=
- Baada ya mtumiaji kuingiza majina na alama za wanafunzi, mfumo utachakata matokeo ya wanafunzi automatically na kukupatia outputs zifuatazo.
- Mkeka wa matokeo ya jumla, wenye kila kitu ikiwepo division na points kwa secondary ama Average na Grades kwa Secondary
- Uchambuzi wa matokeo(analysis) kwa masomo yaani kila somo lina A ngapi, B ngapi n.k hali kadhalika itaonyesha GPA ya somo kwa secondary ama wastani wa somo kwa primary.
- Mfumo utakupatia uchambuzi wa matokeo ya jumla yaani DIVISION kwa secondary ama GRADES kwa primary. vile vile mfumo utafanya tathmini yakinifu kwa kuweza kufanya calculation ya K.P.I
- NB: Mfumo huu unafanya analysis kwa kuzingatia jinsia za wanafunzi
- MFUMO WA KUTUMA SMS ZA MATOKEO, MADENI AMA TAARIFA.
- Mfumo huu unapatikana kwa gharama ya Tsh 30,000/=
- Mfumo huu unatumika sambamba na template ya excel ambayo utajaza taarifa za mwanafunzi, namba ya simu ya mzazi, matokeo ya mwanafunzi, deni la Ada pamoja na taarifa zingine.
- Mfumo utatuma taarifa husika kwa mzazi wa mtoto husika. na taarifa zitatumwa kama message za kawaida zitakazopokelewa na simu yoyote hata kama sio smartphone
- MFUMO WA MATOKEO ANALYSIS, REPORT FORM NA SMS.
- Mfumo huu unapatikana kwa gharama ya Tsh 50,000/=
- Mfumo huu ni combination ya package namba 1 na package namba 3