Home TAMISEMI Fomu za kujiunga Kidato cha Kwanza 2025-2026 – Joining Instruction

Fomu za kujiunga Kidato cha Kwanza 2025-2026 – Joining Instruction

253
0
📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

TAMISEMI Imetoa orodha ya waliopangiwa kuanza kidato cha kwanza kwa mwaka 2026, sambamba na hilo wametoa fomu za kujiunga (Joining Instructions) zenye vitu muhumi kwa wanafuni kuwa navyo wakati wanaenda shuleni kwa wale wa bweni na day.

Joining Instructions na Fomu za kujiunga na sekondari kidato cha kwanza 2025-2026

Maelekezo namna ya kupata fomu za kujiunga joining instructions za kidato cha kwanza, Tafadhari chagua mkoa husika ambao mwanafunzi amefanyia mtihani shule ya msingi, Kisha chagua shule aliyosoma, utamalizia kubonyeza jina la shule aliyopangiwa kwenda ili uweze kupakua fomu hiyo ya kujiunga.

ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA
GEITA IRINGA KAGERA
KATAVI KIGOMA KILIMANJARO
LINDI MANYARA MARA
MBEYA MOROGORO MTWARA
MWANZA NJOMBE PWANI
RUKWA RUVUMA SHINYANGA
SIMIYU SINGIDA SONGWE
TABORA TANGA
📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here