Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Optometry (BSO)
Pass 3 kutoka katika masomo ya Physics, Biology and Chemistry or Advanced Mathematics yenye jumla ya angalau point 6. mwombaji lazima awe na angalau
ufaulu wa “C” somo la Physics na angalau “D” somo la Biology na “E” katika somo la Chemistry/Advanced Mathematics.
Jinsi ya Kupata Points
Kwa Waliomaliza A’ Level kabla ya 2014
(A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1; S = 0.5)
Kwa Waliomaliza A’ Level 2014 and 2015
A = 5; B+ = 4; B = 3; C= 2; D = 1; E = 0.5)
Kwa Waliomaliza A’ Level 2016 mapaka sasa
A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1; S = 0.5)
Angalizo
Sifa na vigezo hutofautiana kulingana na chuo pamoja na nafasi zinazopatikata kulingana na ushindani uliopo.








