1. Kupata Cheti cha Kuzaliwa
2. Kubadilisha Cheti cha Kuzaliwa (Old to New Birth Certificate)
3. Kuhakiki Cheti cha Kuzaliwa
4. Kupata Cheti cha Kifo
5. Kuhakiki Cheti cha Kifo
Fahamu Namna ya Kupata Cheti cha Kuzaliwa Mtandaoni Tanzania. Cheti cha kuzaliwa ni hati rasmi inayotolewa na RITA (Registration Insolvency and Trusteeship Agency). Inathibitisha...