Home MIFUMO MBALIMBALI Mfumo Wa Timetable

Mfumo Wa Timetable

11
0
📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU
  • Mfumo huu unapatikana kwa gharama ya Tsh 30,000/=
  • Huu ni mfumo mahususi kwa ajili ya uandaaji wa ratiba za masomo kwa ngazi zote za elimu. yaani Primary, O level, A’level na vyuoni.
  • Kazi ya mtumiaji ni kujaza taarifa za walimu, masomo wanayofundisha, Idadi ya vipindi kwa kila somo na kila darasa.
  • Halikadhalika mtumiaji atajaza Muda wa vipindi kuanza, Idadi ya vipindi kwa siku, pamoja na ku-define muda wa break.
  • Baada ya kujaza taarifa za hapo juu, mfumo uta-generate timetable zifuatazo automatically bila ya colision
    1. Ratiba kuu ya masomo 

                      ( General School Timetable)

    1. Ratiba ya kila darasa 

                     (Each class timetable)

    1. Ratiba ya kila Mwalimu 

                      (Timetable for each teacher)

    1. Ratiba ya kila somo

                        (Timetable for each subject)

  • NB: Mfumo unampa uhuru mtumiaji wa kuweza kufanya manual adjustment kutokana na preference yake, na mtumiaji akihamisha kipindi kukipeleka kweye colision mfumo utamwambia directly
  • Pia mfumo unampa mtumiaji option ya Time-off , hivyo anaweza zuia vipindi fulani visiende muda fulani hivyo kutoa fursa kwa walimu ambao wanakuwa na majukumu kwa muda husika kutowekewa vipindi muda huo.
  • Mfumo unaruhusu relaxation hivyo kupunguza idadi ya vipindi ambavyo mwalimu atafundisha mfululizo bila ya kupumzika.

Mawasiliano 0652372705 au Click Here

📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here