Home MIFUMO MBALIMBALI Mfumo Wa Matokeo Analysis, Report Form Na SMS

Mfumo Wa Matokeo Analysis, Report Form Na SMS

12
0
📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

AINA YA MIFUMO YA MATOKEO TULIYONAYO, GHARAMA ZAKE PAMOJA NA MAELEZO MENGINE.

  1. MIFUMO YA MATOKEO,  ANALYSIS & REPORT FORM
  • Mfumo huu unapatikana kwa gharama ya tsh 30,000/=
  • Baada ya mtumiaji kuingiza majina na alama za wanafunzi, mfumo utachakata matokeo ya wanafunzi automatically na kukupatia outputs zifuatazo.
  • Report form ya kila mwanafunzi mmoja iliyojazwa automatically na mfumo.
  • Mkeka  wa matokeo ya jumla, wenye kila kitu ikiwepo division na points kwa secondary ama Average na Grades kwa Secondary
  • Uchambuzi wa matokeo(analysis) kwa masomo yaani kila somo lina  A ngapi, B ngapi n.k hali kadhalika itaonyesha GPA ya somo kwa secondary ama wastani wa somo kwa primary.
  • Mfumo utakupatia  uchambuzi wa matokeo ya jumla yaani DIVISION kwa secondary ama GRADES kwa primary. vile vile mfumo utafanya tathmini yakinifu kwa kuweza kufanya calculation ya K.P.I
  • Mfumo utakupatia List ya wanafunzi 20 bora na list ya wanafunzi 20 dhaifu.
  1. MIFUMO YA MATOKEO NA ANALYSIS
  • Mfumo huu unapatikana kwa gharama ya tsh 15,000/=
  • Baada ya mtumiaji kuingiza majina na alama za wanafunzi, mfumo utachakata matokeo ya wanafunzi automatically na kukupatia outputs zifuatazo.
  • Mkeka  wa matokeo ya jumla, wenye kila kitu ikiwepo division na points kwa secondary ama Average na Grades kwa Secondary
  • Uchambuzi wa matokeo(analysis) kwa masomo yaani kila somo lina  A ngapi, B ngapi n.k hali kadhalika itaonyesha GPA ya somo kwa secondary ama wastani wa somo kwa primary.
  • Mfumo utakupatia  uchambuzi wa matokeo ya jumla yaani DIVISION kwa secondary ama GRADES kwa primary. vile vile mfumo utafanya tathmini yakinifu kwa kuweza kufanya calculation ya K.P.I
  • NB: Mfumo huu unafanya analysis kwa kuzingatia jinsia za wanafunzi
  1. MFUMO WA KUTUMA SMS ZA MATOKEO, MADENI AMA TAARIFA.
  • Mfumo huu unapatikana kwa gharama ya Tsh 30,000/=
  • Mfumo huu unatumika sambamba na template ya excel ambayo utajaza taarifa za mwanafunzi, namba ya simu ya mzazi, matokeo ya mwanafunzi, deni la Ada pamoja na taarifa zingine.
  • Mfumo utatuma taarifa husika kwa mzazi wa mtoto husika. na taarifa zitatumwa kama message za kawaida zitakazopokelewa na simu yoyote hata kama sio smartphone
  1. MFUMO WA MATOKEO ANALYSIS, REPORT FORM NA SMS.
  • Mfumo huu unapatikana kwa gharama ya Tsh 50,000/=
  • Mfumo huu ni combination ya package namba 1 na package namba 3

Mawasiliano 0652372705 au Click Here

📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here