Kama unatafuta taarifa sahihi na za hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kujisajili kusoma CPA, basi huu ndiyo mwongozo sahihi kwako. Usajili wa watahiniwa wa mitihani ya CPA unaandaliwa na NBAA (National Board of Accountants and Auditors Tanzania), na...
Tazama hapa Orodha ya vituo vya kufanyia Usaili (Interview) za MDAs & LGAs, Walimu na Kada ya Afya AJIRA PORTAL kwa mikoa yote nchi nzima. Katika hatua ya kuajiri watumishi wa umma, taasisi mbalimbali za serikali, ikiwa ni pamoja na Mamlaka...
Orodha ya majina ya walimu walioitwa kwenye usaili MDAs na LGAs kupitia tume ya utumishi wa umma ajira portal. Majina hayo yamehusisha walimu wote walioomba kwa madaraja mbalimbali ikiwa ni Daraja III A, Daraja la III B na Daraja...
Walimu wa masomo mbalimbali walioitwa kwenye usaili MDAs na LGAs, Pia sekretariat ya ajira imetoa maelekezo kwa wasailiwa wote kama ifuatavyo: Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi...
Kila mwaka baada ya kutangazwa kwa matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba (PSLE), hatua inayofuatia yenye msisimko mkubwa ni kupangwa kwa wanafunzi kujiunga na shule za sekondari. Kwa mwaka wa masomo 2025–2026, wazazi na wanafunzi wengi wanatafuta taarifa...
Viwango vya mishahara ya walimu ni jambo muhimu linaloathiri ubora wa elimu katika jamii. Katika nchi nyingi, mishahara ya walimu mara nyingi huwa haifai kulinganisha na juhudi na kazi wanazozifanya. Ingawa walimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya elimu,...
Jeshi la Magereza leo limetangaza tarehe na vituo vya kufanyia usaili kwa vijana waliochaguliwa kwa mwaka huu 2025. Aidha mkuu wa jeshi la magereza CGP. Jeremia Katungu amesisitiza usaili huo utafanyika kwa vijana waliokidhi vigezo vya Awali tu. Sambamba na...
Mwaka 2026 unakaribia na wazazi pamoja na wanafunzi waliomaliza darasa la saba wanajiandaa kwa hatua inayofuata ya masomo yao, kidato cha kwanza. Form One Selection Tanga 2026 ni tukio muhimu ambalo linatarajiwa kwa hamu na wanafunzi pamoja na wazazi...
Katika mwaka wa masomo wa 2026, uchaguzi wa wanafunzi wa kidato cha kwanza katika mkoa wa Pwani unatarajiwa kuleta furaha na msisimko kwa wanafunzi na wazazi wao. Ni wakati ambao wanafunzi wanajua shule watakazojiunga nazo na kuanza safari yao...
Mwaka 2026 unakaribia na wanafunzi wengi waliohitimu darasa la saba wanatarajia kujiunga na kidato cha kwanza. Katika mkoa wa Morogoro, kama ilivyo kwa mikoa mingine nchini Tanzania, uchaguzi wa wanafunzi wa kidato cha kwanza ni tukio muhimu kwa wazazi...