JWTZ na JKT zimeanzisha shule kadhaa za sekondari katika mikoa tofauti Tanzania. Hapa chini tumekuletea orodha ya shule hizo pamoja na maeneo ambao shule hizo zipo:
Shule ya Sekondari Makongo – Dar es Salaam
Shule ya Sekondari Air Wing...
Priority Courses for HESLB Loan 2025/2026 – Bachelor Degree: List Kozi Zenye Kipaumbele Kupata Mkopo Bachelor Degree 2024/2025. Minister of Education, Science and Technology Prof. Adolf Mkenda has launched the guidelines for issuance of loans and grants for the...
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA AWALI NA MSINGI KWA MWAKA WA MASOMО 2025/2026
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (WyEST) anatangaza nafasi za Mafunzo ya Ualimu ya Stashahada ya...
Pakua Mwongozo wakufanya maombi vyuo vikuu wa mwaka wa masomo 2024/2025: Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) huandaa Mwongozo kwa wombaji wa Vyuo Vikuu Shahada ya Kwanza ili kuwaongoza waombaji/wanafunzi, wazazi/walezi na wafadhili kuhusu taratibu na vigezo vya udahili.
Kitabu cha...
Maboresho ya Tahasusi Katika Utekelezaji wa Zoezi la Uchaguzi wa Wamafunzi Watakaojiunga na Kidato cha Tano
ORODHA YA TAHASUSI ZA KIDATO CHA TANO ZITAKAZOTUMIKA KUANZIA MWEZI 2024
Na.
MASOMO
A: TAHASUSI ZA SAYANSI YA JAMII
1
History, Geography and Kiswahili (HGK)
2
History, Geography and English Language...
Kuna njia mbalimbali unazoweza kutumia kupata namba yako ya NIDA mtandaoni, bila kujali unatumia simu ya kawaida au simu janja. Zifuatazo ni njia kuu za kupata namba yako ya NIDA:
1. Kupitia Tovuti Rasmi ya NIDA
Hatua za kufuata:
Fungua kivinjari...
Tembelea tovuti ya OLAMS kwa kufungua kivinjari chako cha mtandao na kuingia kwenye HESLB OLAMS kupitia kiungo “https://olas.heslb.go.tz“. Kwenye ukurasa wa mwanzo, bonyeza “Omba Mkopo” na uchague kama wewe ni mwanafunzi wa NECTA au si mwanafunzi wa NECTA.
Mara tu...
Fahamu kuhusu wanafunzi ambao wameomba mkopo wa elimu ya juu kupitia HESLB wanaweza kufuatilia matokeo ya maombi yao kwa njia mbili kuu. Njia hizi ni rahisi na zinatoa taarifa sahihi kuhusu kama mwanafunzi amepata mkopo au la.
Kuangalia Kupitia Akaunti...
Namba za Simu za wa kuu wa shule Tanzania mzina| Tamisemi namba za simu za wakuu wa shule za kutwa na bweni Tanzania |Shule za senkondari na shule za Msingi
TAMISEMI NAMBA ZA SIMU ZA WA KUU WA SHULE TANZANIA
NAMBA...
Waombaji waliofaulu wa mkopo watafadhiliwa kiasi
sawa na uhitaji uliowekwa au inavyoweza kuamuliwa
na Bodi. Kiwango cha juu cha mkupuo kilichowekwa kitakuwa
kusambazwa kwa bidhaa za mkopo kulingana na mlolongo ufuatao:
chakula (Milo) na Malazi (MA), Ada ya Masomo (TF), Vitabu na
Gharama za...










