Home NECTA Jinsi ya kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2026/2027

Jinsi ya kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2026/2027

6
0
šŸ“¢ JIUNGE NA CHANNEL YETU

Jinsi ya kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita | Matokeo Form Six ACSEE NECTA 2026/2027.

Jinsi ya kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita

Jinsi wanafunzi wanavyoweza kuangalia matokeo yao (ACSEE) mtandaoni kupitia tovuti rasmi ya NECTA

Hatua ya 1: tembeleaĀ www.necta.go.tz

Hatua ya 2: Bonyeza “Matokeo” kutoka kwenye menyu kuu.

Hatua ya 3: Dirisha la “Matokeo” litaonyesha matokeo yote yanayopatikana.

Hatua ya 6: Chagua “Aina ya Mtihani” ACSEE.

Hatua ya 5: Chagua “Mwaka” wako wa kumaliza shule mfano: 2026

Hatua ya 6. Sasa angalia matokeo ya Form Six NECTA ACSEE

Tembelea tovuti rasmi kwa maelezo zaidi: www.necta.go.tz

šŸ“¢ JIUNGE NA CHANNEL YETU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here