Home MIFUMO MBALIMBALI Mfumo Wa Matokeo Ya Joints

Mfumo Wa Matokeo Ya Joints

10
0
📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

MFUMO WA MATOKEO YA JOINTS.

  • Mifumo hii inapatikana kwa ngazi zote, na gharama inazingatia idadi ya shule ambazo mfumo unapokea., kama ifuatvyo:-
    1. Kuanzia shule 2 hadi 15

(Tsh  20,000/=)

    1. Kuanzia shule 2 hadi 30

(Tsh  45,000/=)

    1. Kuanzia shule 2 hadi 48

(Tsh 60,000/=)

  • Kazi ya mtumiaji ni kusajili majina ya shule, pamoja na kuingiza majina ya wanafunzi pamoja na alama zao. Mfumo utatoa outputs zifuatazo.
    1. Mkeka wa matokeo ya jumla kwa kila shule, wenye analysis zote.
    2. list ya wanafunzi 20 bora na dhaifu kwa kila somo na kiujumla.
    3. Mkeka wa nafasi za shule katika masomo husika na kiujumla.

NB: MFUMO WA JOINT KWA SOMO MOJA UNAPATIKANA KWA GHARAMA ZIFUATAZO.

  1. Kuanzia shule 2 hadi 15

(Tsh  15,000/=)

  1. Kuanzia shule 2 hadi 30

(Tsh  30,000/=)

  1. Kuanzia shule 2 hadi 48

(Tsh  45,000/=)

 

Mawasiliano 0652372705 au Click Here

📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here