Tag: Jinsi ya kufanya maombi na nyaraka za muhimu kazi jeshi la uhamiaji
Namna ya kufanya maombi na nyaraka za umuhimu kazi jeshi la...
NAMNA YA KUFANYA MAOMBI:
Maombi yote ya ajira yatawasilishwa kupitia tovuti ya Idara ya Uhamiaji ambayo
ni https://www.immigration.go.tz kuanzia tarehe 29 Desemba, 2025 na
mwisho wa kufanya...






