Home AJIRA PORTAL Ajira 120 Mpya Walimu Daraja La IIIC Fizikia

Ajira 120 Mpya Walimu Daraja La IIIC Fizikia

960
0
Ajira Portal pia inawezesha waajiri kutoa nafasi za kazi na kufanya mchakato wa ukaguzi wa maombi kwa urahisi zaidi. Mfumo huu umejengwa kwa kuzingatia mahitaji ya sasa ya soko la kazi, ikiwa ni pamoja na kazi za mbali (remote jobs) na fursa za kujitolea (freelancing). Kwa kutumia teknolojia ya kisasa, Ajira Portal inasaidia kupunguza ukosefu wa kazi na kuwaunganisha waajiri na watafuta kazi kwa ufanisi zaidi. Hivyo, inachangia kwa kiasi kikubwa katika kutatua changamoto za ajira na kuleta mabadiliko chanya katika maisha ya watu wengi.
POST DETAILS
POST MWALIMU DARAJA LA III C – FIZIKIA (PHYSICS) – 120 POST
EMPLOYER MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE: 2025-06-05 2025-06-14
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii.Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii.Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;

iv.Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v.Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;

vi.Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii.Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule;

viii.Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

 

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Fizikia au Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Fizikia  pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu  ya Juu vinavyotambulika na Serikali.
REMUNERATION TGTS- D

Login to Apply

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here