Home AJIRA PORTAL Mwalimu Daraja III C – Hisabati kutoka MDAs & LGAs, 2026

Mwalimu Daraja III C – Hisabati kutoka MDAs & LGAs, 2026

110
0

Nafasi 709 mpya za kazi za Ualimu na walimu wa Hisabati (Mathematics) kutoka MDAs & LGAs kwa mwaka huu 2026

Majukumu ya Kazi

  1. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
  2. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
  3. Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
  4. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
  5. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
  6. Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
  7. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule; na
  8. Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

Elimu na Vigezo

Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Hisabati

AU

Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Hisabati pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu  ya Juu vinavyotambulika na Serikali.

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here