Angalia hapa kuangalia “form five selection 2026/2027” au Uchaguzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, 2026. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati kwa mwaka 2026 yalitangazwa rasmi tarehe 1 Juni 2026 na Ofisi ya Rais – TAMISEMI.
Jumla ya wanafunzi 246,197 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano pamoja na vyuo vya ufundi katika maeneo mbalimbali nchini kwa mwaka wa masomo 2026.
Wanafunzi waliochaguliwa kidato cha tano wanatakiwa kuripoti katika shule na vyuo walivyopangiwa kuanzia Julai 4 hadi Julai 30 mwaka huu.
Angalia selection hapa chini.











