Home HABARI ZA MICHEZO Tetesi za Usajili wa Simba SC 2026/2027

Tetesi za Usajili wa Simba SC 2026/2027

9
0
šŸ“¢ JIUNGE NA CHANNEL YETU

Screenshot 2026-07-09 082119.png

Mabingwa wa Kombe FA Tanzania 2025/2026 Simba SC wamepania kufanya vizuri msimu ujao Ligi Kuu. Kuna majina mbalimbali ya wachezaji wanaohusishwa kuingia katika kikosi cha simba msimu wa 2026/2027. Majina hayo niĀ Kelvin Nashon, Ramadhan Chobwedo, Feisal Salum. Wakati baadhi ya majina yakitajwa kuwa karibu kutambulishwa rasmi, wengine wanaendelea kuwa sehemu ya mipango ya muda mrefu ya klabu.

Simba Inatafuta Kuimarisha Maeneo Gani?

Kwa kuangalia majina yanayotajwa katika dirisha hili la usajili, Simba inaonekana kulenga kuimarisha maeneo yafuatayo:

  • Kiungo mshambuliaji wa ubunifu.
  • Winga mwenye kasi na uwezo wa kufunga mabao.
  • Kiungo wa kati mwenye nguvu za kukaba.
  • Beki wa kati mwenye uzoefu wa kimataifa.
  • Mshambuliaji wa kuongoza safu ya ushambuliaji.

Majina ya Wachezaji Wanaotajwa Kutaka Kuondoka

– Rushine De Reuck

– Will Inno Jospin Loemba

šŸ“¢ JIUNGE NA CHANNEL YETU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here