Home WIZARA YA ELIMU Form Five Selection 2026/2027 Zanzibar – MOEZ

Form Five Selection 2026/2027 Zanzibar – MOEZ

16
0
📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

Angalia hapa majina waliochaguliwa kidato cha tano na vyuo 2026 Zanzibar.

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imekamilisha zoezi la kuwapanga wanafunzi waliopata ufaulu wa kuendelea na Kidato cha Tano kwa mwaka 2026/2027 ambao wametimiza vigezo vya kujiunga vilivyowekwa. Wanafunzi hawa ni kutoka skuli za Serikali, Binafsi na wanafunzi wa Kujitegemea.

Zoezi hili limeendeshwa kwa umakini mkubwa, uwazi, na kwa kuzingatia misingi ya haki ili kuhakikisha kila mwanafunzi aliyefaulu anapata nafasi anayostahili kulingana na ufaulu wake na TAHASUSI aliyoichagua. Ikumbukwe kuwa, zoezi limefanyika kupitia mfumo maalum wa usajili wa wanafunzi (ZANZIBAR STUDENTS ALLOCATION SYSTEM) ambao unamuwezesha kila mwanafunzi mwenye sifa, kujisajili na kuchagua Tahasusi anayotaka kwa mujibu wa ufaulu wake.

📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here