Home AJIRA AIR TANZANIA Nafasi Kazi Shirika la Ndege Air Tanzania 2025

Nafasi Kazi Shirika la Ndege Air Tanzania 2025

127
0
📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

Shirika la Ndege Air Tanzania imetangaza nafasi 102 za kazi kwa lengo la kuongeza ufanisi na kuboresha huduma zake kwa abiria wa ndani na nje ya nchi. Nafasi hizi hulenga Watanzania wenye sifa stahiki, maadili mema na uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yenye ushindani na uwajibikaji mkubwa. Kupitia ajira hizi, Air Tanzania inalenga kuimarisha rasilimali watu, kukuza vipaji vya ndani na kuchangia maendeleo ya sekta ya usafiri wa anga pamoja na uchumi wa taifa kwa ujumla.

Nafasi 102 za Kazi kutoka Shirika la Ndege Air Tanzania

/N Jina La Tangazo Idadi Ya Nafasi Mahali Tarehe Ya Mwisho
1 Msaidizi Wa Huduma Za Upishi Daraja La Pili Nafasi 5 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
2 Afisa Huduma Za Upishi Daraja La Kwanza Nafasi 4 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
3 Afisa Wa Kumbukumbu Daraja La Pili Nafasi 1 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
4 Afisa Rasilimali Watu Daraja La Pili Nafasi 3 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
5 Afisa Utawala Daraja La Pili Nafasi 1 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
6 Msaidizi Wa Uhasibu Daraja La Pili Nafasi 1 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
7 Afisa Wa Uhasibu Daraja La Pili Nafasi 2 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
8 Mhasibu Daraja La Pili Nafasi 5 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
9 Dereva Daraja La Pili Nafasi 4 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
10 Msaidizi Wa Ununuzi Daraja La Pili Nafasi 5 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
11 Afisa Ununuzi Daraja La Pili Nafasi 2 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
12 Afisa Uhusiano Wa Umma Daraja La Pili Nafasi 2 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
13 Afisa Teknolojia Ya Habari Na Mawasiliano Daraja La Pili (Usimamizi Wa Mifumo) Nafasi 1 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
14 Afisa Teknolojia Ya Habari Na Mawasiliano Daraja La Pili (Usimamizi Wa Mitandao) Nafasi 1 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
15 Afisa Teknolojia Ya Habari Na Mawasiliano Daraja La Pili (Uendelezaji Wa Programu) Nafasi 2 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
16 Mkaguzi Wa Ndani Daraja La Pili Nafasi 1 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
17 Mkaguzi Mkuu Wa Ndani Nafasi 2 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
18 Msaidizi Wa Mauzo Na Masoko Daraja La Pili (Mauzo Na Uhifadhi) Nafasi 12 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
19 Afisa Mauzo Na Masoko Daraja La Pili (Mauzo Na Uhifadhi) Nafasi 10 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
20 Afisa Mauzo Na Masoko Daraja La Kwanza (Mtendaji Wa Mauzo) Nafasi 5 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
21 Afisa Mauzo Na Masoko Daraja La Kwanza (Masoko Ya Kidijitali Na Ubunifu Wa Maudhui) Nafasi 3 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026
22 Afisa Mauzo Na Masoko Daraja La Pili (Mtendaji Wa Mauzo) Nafasi 6 Dar Es Salaam, Tanzania 12/02/2026
23 Afisa Ratiba Za Wahudumu Wa Ndege Daraja La Pili Nafasi 8 Dar Es Salaam, Tanzania 12/01/2026

Jinsi ya Kutuma maombi ya Nafasi za kazi Shirika la Ndege Tanzania ATCL

Maombi yote yaandikwe kwa barua ya kingereza iliyosainiwa kisha itummwe kupitia anuani:

Managing Director & CEO,
Air Tanzania Company Limited,
P.O. Box 543,
Dar es Salaam.

Maombi yote yawasilishwe kupitia Mfumo wa Ajira Online (Recruitment Portal) kwa kutumia anuani ifuatayo:
https://recruitment.atcl.co.tz

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 12 Januari, 2026.

BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI NAFASI ZA KAZI AIR TANZANIA

📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here