Home HABARI ZA MICHEZO 3018 Ajira Walimu Daraja La IIIA (Teacher Grade IIIA)

3018 Ajira Walimu Daraja La IIIA (Teacher Grade IIIA)

145
0

3018 Ajira Walimu Daraja La IIIA (Teacher Grade IIIA)

Duties and Responsibilities
i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufandishia na kujifunzia;

iii. Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;

iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;

vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii. Kusimamia utunzaji wa Vifaa na mali za Shule;

viii. Kufundisha na kusimamia Elimu ya Watu Wazima;

ix. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

Qualifications
· Kuajiriwa mwenye Cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato na Nne ambaye amefaulu mafunzo ya Ualimu ya miaka miwili (2) kutoka Vyuo vya ualimu vinavyotambulika na Serikali na kutunukiwa Cheti cha Ualimu Daraja la A.

BONYEZA HAPA KUOMBA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here