Home AJIRA PORTAL Nafasi 131 MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II)

Nafasi 131 MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II)

191
0

MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II) – Nafasi 131
1.1 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kuandika taarifa ya mapato na matumizi;
ii. Kuandika taarifa za maduhuli;
iii. Kupokea maduhuli ya serikali na kupeleka Benki kwa wakati;
iv. Kufanya usuluhisho wa hesabu za Benki na nyingine zinazohusiana na masuala
ya fedha;
v. Kukagua hati za malipo; na
vi. Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

1.2 SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Sita wenye shahada ya Uhasibu au Biashara
waliojiimarisha kwenye fani ya Uhasibu au Stashahada ya juu ya Uhasibu kutoka
Taasisi inayotambuliwa na Serikali pamoja na cheti cha Taaaluma ya Uhasibu CPA(T)
au sifa inayolingananayo inayotambuliwa na NBAA.

1.3 NGAZI YA MSHAHARA
TGS.D

CLICK HERE TO APPLY

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here