Home AJIRA PORTAL Nafasi 1 Afisa ukuzaji viumbe kwenye maji msaidizi daraja la II(Assistant Aquaculture...

Nafasi 1 Afisa ukuzaji viumbe kwenye maji msaidizi daraja la II(Assistant Aquaculture Officer Grade II)

270
0

2.0 AFISA UKUZAJI VIUMBE KWENYE MAJI MSAIDIZI DARAJA LA II(ASSISTANT
AQUACULTURE OFFICER GRADE II) – Nafasi 1

2.1 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kuhamasisha kuongeza ubora wa Mazao na ukuzaji viumbe kwenye maji ili kulinda
soko na afya ya walaji;
ii. Kuwaelimisha wananchi juu ya ufugaji wa Samaki na Kilimo cha mwani na usimamizi
endelevu ili kuongeza tija;
iii. Kuanisha wawekezaji katika shughuli za ukuzaji viumbe kwenye maji na
kuhamasisha ukuzaji viumbe kwenye viumbe kwenye maji;
iv. Kuhakiki ubora na usafi wa zana za kuvunia mazao ya viumbe wanaokuzwa kwenye
maji na maeneo ya kuhifadhi mazao hayo pamoja na usafirishaji wake;
v. Kusimamia utayarishaji wa mashamba darasa ya ukuzaji viumbe kwenye maji; na
vii. Kufanya kazi nyengine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi

2.2 SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wahitimu wa Kidatu cha IV au VI wenye Stashahada (Diploma NTA Level 6)
ya ukuzaji viumbe kwenye Maji kutoka Vyuo vya Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi
( Fisheries Education and Training Agency – FETA) au Sifa inayolingana na hiyo kutoka
vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.

2.3 NGAZI YA MSHAHARA
TGS.C

CLICK HERE TO APPLY

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here