Home AJIRA PORTAL Nafasi 126 MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS ASSISTANT GRADE II)

Nafasi 126 MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS ASSISTANT GRADE II)

228
0

3.0 MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS ASSISTANT GRADE II) –
Nafasi 126

3.1 MAJUKUMU YA KAZI

i.Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu;
ii.Kutunza kumbukumbu za hesabu;
iii.Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki; na
iv.Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
3.2 SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye Cheti cha Astashahada ya Uhasibu kutoka Chuo kinachotambulika na
Serikali au Cheti cha ATEC I kinachotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na
hizo zinazotambulika na NBAA.

3.3 NGAZI YA MSHAHARA
TGS. B

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here