Mtihani wa Kitaifa ya Darasa la Nne (SFNA) ni tathmini ya awali inayolenga kufuatilia ujifunzaji wa wanafunzi. Ili kutoa maoni ambayo walimu, wanafunzi na wadau wengine wa elimu wanaweza kutumia ili kuboresha ufundishaji na ujifunzaji.
Ratiba ya Mtihani hutolewa na Baraza la Mitihani la Taifa NECTA.
Tembelea tovutu rasmi kupata ratiba: https://www.necta.go.tz/






