Home NECTA Ratiba ya Mtihani Darasa la Saba 2026 (NECTA PSLE Timetable)

Ratiba ya Mtihani Darasa la Saba 2026 (NECTA PSLE Timetable)

10
0

Mtihani wa Darasa la Saba (Primary School Leaving Examination – PSLE) ni mtihani wa kitaifa unaosimamiwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa ajili ya wanafunzi wanaomaliza elimu ya msingi.

Mtihani huu hufanyika wiki ya pili ya Septemba kila mwaka.

Malengo ya mtihani huu ni kutathmini maarifa na ujuzi wa wanafunzi waliopata katika masomo tofauti katika ngazi ya shule ya msingi; kutathmini uelewa wa wanafunzi kuhusu ujuzi wa msingi na kiwango ambacho wanaweza kutumia ujuzi huo katika kutatua matatizo muhimu maishani; na kuwatambua wanafunzi wenye uwezo wa kuendelea na elimu ya sekondari au kujiunga na taasisi za mafunzo.

Jinsi ya Kupata Ratiba ya Mtihani

Ratiba ya Mtihani hutolewa na Baraza la Mitihani la Taifa NECTA.

Tembelea tovutu rasmi kupata ratiba: https://www.necta.go.tz/

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here