Home TCU Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Doctor of Medicine (MD/MBBS)

Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Doctor of Medicine (MD/MBBS)

6
0
Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Doctor of Medicine (MD/MBBS)

Pass tatu kutoka katika masomo ya Physics, Chemistry and Biology zenye pont zisizopungua 6. Mwombaji angalau awe na “D” kwenye somo la Chemistry, Biology and Physics.

Jinsi ya Kupata Points

Kwa Waliomaliza A’ Level kabla ya 2014

(A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1; S = 0.5)

Kwa Waliomaliza A’ Level 2014 and 2015

A = 5; B+ = 4; B = 3; C= 2; D = 1; E = 0.5)

Kwa Waliomaliza A’ Level 2016 mapaka sasa

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here