Home TCU Orodha Kamili Ya Vyuo vikuu 10 bora Tanzania | 2026

Orodha Kamili Ya Vyuo vikuu 10 bora Tanzania | 2026

7
0
📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

Maelezo juu ya mwongozo wa vyuo vikuu bora Tanzania, ukionyesha vyuo vikuu 10 bora Tanzania pamoja na kozi zake muhimu, ili kukusaidia kuchagua taasisi yenye ubora na fursa zinazofaa malengo yako ya masomo.

Vyuo Vikuu Bora Tanzania (serikali na binafsi) mwaka huu

Jina la chuo Nafasi ya ubora duniani
University of Dar es Salaam (UDSM) 2021
Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) 2520
Sokoine University of Agriculture (SUA) 3877
University of Dodoma (UDOM) 4896
Mzumbe University (MU) 5226
The Open University of Tanzania (OUT) 5398
Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS-Bugando) 6037
Mkwawa University College of Education (MUCE) 6150
Ardhi University (ARU) 6427
University of Iringa 7731
📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here