Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Environmental Health Sciences (BSc EHS)
Pass 3 kwenye masomo ya Chemistry, Biology na either Physics au Advanced Mathematics au Nutrition au Geography au Agriculture yenye jumla ya point zisizopungua 6. Mwombaji lazima awe na ufaulu wa angalau “C” somo la Chemistry na angalau “D” somo la Biology na “E” somo la Physics au Advanced Mathematics or Nutrition au Geography au Agriculture.
Jinsi ya Kupata Points
Kwa Waliomaliza A’ Level kabla ya 2014
(A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1; S = 0.5)
Kwa Waliomaliza A’ Level 2014 and 2015
A = 5; B+ = 4; B = 3; C= 2; D = 1; E = 0.5)
Kwa Waliomaliza A’ Level 2016 mapaka sasa
A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1; S = 0.5)
Angalizo
Sifa na vigezo hutofautiana kulingana na chuo pamoja na nafasi zinazopatikata kulingana na ushindani uliopo.








