Home NACTVET Sifa na Vigezo vya Kusoma Nursing (Uuguzi) Diploma na Cheti

Sifa na Vigezo vya Kusoma Nursing (Uuguzi) Diploma na Cheti

10
0

Vigezo vya Kujiunga na Kozi ya Nusing

Mwombaji anapaswa kuwa na Cheti cha Matokeo ya Kidato cha Nne (CSEE) chenye angalau ufaulu wa masomo manne (4) yasiyo ya kidini, ikiwemo Kemia, Baiolojia, na Fizikia/Hisabati za Uhandisi. Ufaulu wa daraja D somo la Hisabati na Kiingereza utazingatiwa kama faida ya ziada.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here