MFUMO WA MATOKEO YA JOINTS.
- Mifumo hii inapatikana kwa ngazi zote, na gharama inazingatia idadi ya shule ambazo mfumo unapokea., kama ifuatvyo:-
- Kuanzia shule 2 hadi 15
(Tsh 20,000/=)
-
- Kuanzia shule 2 hadi 30
(Tsh 45,000/=)
-
- Kuanzia shule 2 hadi 48
(Tsh 60,000/=)
- Kazi ya mtumiaji ni kusajili majina ya shule, pamoja na kuingiza majina ya wanafunzi pamoja na alama zao. Mfumo utatoa outputs zifuatazo.
- Mkeka wa matokeo ya jumla kwa kila shule, wenye analysis zote.
- list ya wanafunzi 20 bora na dhaifu kwa kila somo na kiujumla.
- Mkeka wa nafasi za shule katika masomo husika na kiujumla.
NB: MFUMO WA JOINT KWA SOMO MOJA UNAPATIKANA KWA GHARAMA ZIFUATAZO.
- Kuanzia shule 2 hadi 15
(Tsh 15,000/=)
- Kuanzia shule 2 hadi 30
(Tsh 30,000/=)
- Kuanzia shule 2 hadi 48
(Tsh 45,000/=)
Mawasiliano 0652372705 au Click Here




