- Mfumo huu unapatikana kwa gharama ya Tsh 30,000/=
- Huu ni mfumo mahususi kwa ajili ya uandaaji wa ratiba za masomo kwa ngazi zote za elimu. yaani Primary, O level, A’level na vyuoni.
- Kazi ya mtumiaji ni kujaza taarifa za walimu, masomo wanayofundisha, Idadi ya vipindi kwa kila somo na kila darasa.
- Halikadhalika mtumiaji atajaza Muda wa vipindi kuanza, Idadi ya vipindi kwa siku, pamoja na ku-define muda wa break.
- Baada ya kujaza taarifa za hapo juu, mfumo uta-generate timetable zifuatazo automatically bila ya colision
- Ratiba kuu ya masomoÂ
                     ( General School Timetable)
-
- Ratiba ya kila darasaÂ
                    (Each class timetable)
-
- Ratiba ya kila MwalimuÂ
                     (Timetable for each teacher)
-
- Ratiba ya kila somo
                       (Timetable for each subject)
- NB: Mfumo unampa uhuru mtumiaji wa kuweza kufanya manual adjustment kutokana na preference yake, na mtumiaji akihamisha kipindi kukipeleka kweye colision mfumo utamwambia directly
- Pia mfumo unampa mtumiaji option ya Time-off , hivyo anaweza zuia vipindi fulani visiende muda fulani hivyo kutoa fursa kwa walimu ambao wanakuwa na majukumu kwa muda husika kutowekewa vipindi muda huo.
- Mfumo unaruhusu relaxation hivyo kupunguza idadi ya vipindi ambavyo mwalimu atafundisha mfululizo bila ya kupumzika.
Mawasiliano 0652372705 au Click Here




