Dirisha kubwa la usajili wa msimu wa 2026/2027 limefunguliwa rasmi, hivyo tetesi kuhusu usajili wa mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania 2025/2026 Yanga zinaendelea kuongezeka.
Ni muhimu kutofautisha kati ya:
Tetesi – taarifa ambazo bado hazijathibitishwa.
Usajili rasmi – mchezaji hutangazwa na Yanga kupitia kurasa...
Mabingwa wa Kombe FA Tanzania 2025/2026 Simba SC wamepania kufanya vizuri msimu ujao Ligi Kuu. Kuna majina mbalimbali ya wachezaji wanaohusishwa kuingia katika kikosi cha simba msimu wa 2026/2027. Majina hayo ni Kelvin Nashon, Ramadhan Chobwedo, Feisal Salum. Wakati baadhi...
CV ya Manqoba Mngqithi Kocha Mpya wa Yanga 2026/2027. Kocha mkuu wa zamani wa Golden Arrows, Manqoba Mngqithi, ametangazwa kuwa meneja mpya wa mabingwa wa Tanzania, Young Africans SC.
PROFILE
MAJINA KAMILI: MANQOBA MNGQITHI
KUZALIWA: 25 APRIL 1971
TAIFA: SOUTH AFRICAN
NAFASI: KOCHA MKUU
Manqoba...
Mtakumbuka kwamba kati ya Mwezi Februari na Juni, 2025 Mamlaka ya Mapato Tanzania iliendesha zoezi la usaili ili kujaza nafasi 1,596 zilizokuwa wazi. Baada ya mchakato ule, waomba kazi waliofikia na kufaulu vizuri zaidi katika hatua ya
usaili wa mahojiano...
Fahamu Sifa za Msailiwa Katika Kanzidata za Ajira za Serikalini.
ANGALIA VIDEO HAPA
QUESTIONS FOR INTERVIEW OF: PERSONAL SECRETARY GRADE III
6. DUTIES OF PERSONAL SECRETARY DURING THE MEETING:
. To arrange conference room set up.
. To-supply stationery.
. To welcome new member.
. To supervise conference room.
· To read previous minutes.
. To record minutes of...
AINA YA MIFUMO YA MATOKEO TULIYONAYO, GHARAMA ZAKE PAMOJA NA MAELEZO MENGINE.
MIFUMO YA MATOKEO, ANALYSIS & REPORT FORM
Mfumo huu unapatikana kwa gharama ya tsh 30,000/=
Baada ya mtumiaji kuingiza majina na alama za wanafunzi, mfumo utachakata...
MFUMO WA MATOKEO YA JOINTS.
Mifumo hii inapatikana kwa ngazi zote, na gharama inazingatia idadi ya shule ambazo mfumo unapokea., kama ifuatvyo:-
Kuanzia shule 2 hadi 15
(Tsh 20,000/=)
Kuanzia shule 2 hadi 30
(Tsh 45,000/=)
Kuanzia shule 2 hadi 48
(Tsh 60,000/=)
Kazi...
Mfumo huu unapatikana kwa gharama ya Tsh 30,000/=
Huu ni mfumo mahususi kwa ajili ya uandaaji wa ratiba za masomo kwa ngazi zote za elimu. yaani Primary, O level, A'level na vyuoni.
Kazi ya mtumiaji ni kujaza taarifa...
ACSEE 2026
1 S5555 KEMEBOS SECONDARY SCHOOL
2 S3881 AHMES SECONDARY SCHOOL
3 S0155 TABORA BOYS' SECONDARY SCHOOL
4 S6915 AHMES MBWENI SECONDARY SCHOOL
5 S6749 MARIAN BOYS MLINGOTINI SECONDARY SCHOOL
6 S0189 FEZA BOYS' SECONDARY SCHOOL
7 S1268 KISIMIRI SECONDARY SCHOOL
8 S0119 KIBAHA SECONDARY SCHOOL
9...






