MAOMBI YATAKAYOPEWA KIPAUMBELE:
Maombi yatakayopewa kipaumbele ni ya waombaji wenye taaluma ngazi ya
Shahada/Stashahada ya Juu, Stashahada na Astashahada kutoka katika Vyuo
vinavyotambuliwa na Serikali wenye fani zifuatazo:- Mtaalamu wa Lugha za
Kimataifa, Utawala, Sheria, Uhusiano, TEHAMA(Cyber Security,Database
Developer,System Developer,Artifical Intelligence and Machine Learning),
Masijala, Ukatibu Mahsusi, Uhasibu, Ununuzi na Ugavi waliosajiliwa na Bodi,
Takwimu, Uchumi, Umeme, Ufundi wa AC, Brass band, Wataalamu wa
Saikolojia (Psychology) na Mpiga chapa (Printer).
Pia waombaji wenye ujuzi wa Ufundi wa Magari na Udereva watapewa
kipaumbele.








