MAMBO YA KUZINGATIA KUFANYA MAOMBI YA MKOPO NA CHUO
HATUA YA KWANZA
UHAKIKI WA VYETI VYA KUZALIWA NA VIFO RITA
Mahitaji:
- Jina kamili la mwanafunzi
- Tarehe ya kuzaliwa
- Mahali ulipozaliwa
- Namba ya simu
- Jina kamili la baba
- Jina kamili la mama
- Nakala ya cheti unachohakiki (chakuzaliwa au cha kifo)
HATUA YA PILI
MAOMBI YA MKOPO HESLB
     TAARIFA BINAFSI NA ANUANI ZA MWOMBAJI
- Jina Kamili (Full Name)
- Tarehe ya Kuzaliwa
- Mkoa ulikozaliwa
- Namba ya Simu ya Mkononi
- Passport size
- Namba ya nida
- Namba ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa (kutoka RITA)
TAARIFA ZA BENKI ZA MWOMBAJI
- Jina La Benki :
- Namba ya account
- Jina la mwenye account (JINA LAKO KAMILI)
TAARIFA YA ELIMU
- Namba ya mtihani kidato cha nne na mwaka wakumaliza
- Namba ya mtihani kidato cha sit ana mwaka wa kumaliza
NB: kama umefanya mtihani wa taifa zaidi ya mara moja ambatanisha namba zote
TAARIFA ZA WAZAZI (NA MLEZI KAMA YUPO)
- Jina kamili
- Mahali anapoishi
- Mkoa
- Wilaya
- Kata
- kijiji
- Postikode
- Namba ya nyumba
- Namba ya simu
- Kazi anayofanya
TAARIFA ZA MDHAMINI WAKO
- Jina kamili
- Kazi anayofanya
- Passport size
- Namba na copy ya kitambulisho
- Mkoa anaoishi
- Walaya
- Kijiji
- Postikodi
- Namba ya nyumba
NB: Mdhamini ni mzazi au mlezi
TAARIFA ZA KIUCHUMI
- Namba ya tassaf (kama familia ipo chini ya tassaf)
TAARIFA ZA UFADHILI
Kama umefadhiliwa katika ngazi yoyote ya elimu ambatanisha barua na form ya ufadhili
HATUA YA TATU
MAOMBI YA CHUO
- Namba ya form 4
- Namba ya form 6
- Namba ya simu
- Anuani
- Course uanzotaka kusoa (anagalau kozi tatu)
- Tarehe ya kuzaliwa
JIUNGE KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP KWA KUBONYEZA LINK APO CHINI
BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA GROUP
Prepared by
Magesa Tech Solutions
Phone: 0747532692
Dodoma Tanzania









