Home HESLB Mfumo wa OLAMS HESLB 2026/2027

Mfumo wa OLAMS HESLB 2026/2027

11
0
📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU
 

Screenshot 2026-06-19 205420.png

OLAMS HESLB ni mfumo unaotumika katika uombaji na michakato yote ya kidigitali inayohusu bodi ya mikopo ya elimu ya juu Tanzania.

Huduma Zinazopatikana Kwenye OLAMS

Mfumo wa OLAMS unatoa huduma mbalimbali ikiwemo:

  1. Kuomba mkopo wa elimu ya juu.
  2. Kuomba Samia Scholarship.
  3. Kufuatilia hali ya maombi ya mkopo.
  4. Kurejesha nenosiri lililosahaulika.
  5. Kusasisha taarifa za mwombaji.
  6. Kupakua na kuchapisha nyaraka za maombi.
  • Tembelea mfumo rasmi wa OLAMS HESLB
  • Pia Karibu Kwa Kufanyiwa Application +255652372705
📢 JIUNGE NA CHANNEL YETU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here