SHULE YA BAGAMOYO YA UUGUZI
(Bagamoyo School of Nursing)
Aina: Serikali | Usajili: REG/HAS/078
Mahali: Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Pwani
Kozi Zinazopatikana:
Stashahada ya Kwanza katika Uuguzi na Ukunga
(Ordinary Diploma in Nursing and Midwifery)
Vigezo vya Kujiunga:
-
Wenye Cheti cha Elimu ya Sekondari (CSEE) waliofaulu angalau masomo manne (4) ikijumuisha daraja la “C” katika Biolojia na Kemia, na faulu katika Fizikia/Sayansi ya Uhandisi na Kiingereza
Muda wa Programu: Miaka 3 | Uwezo: 70
Ada: TSH. 1,255,400/=











