CHUO CHA AMANI CHA LUGHA YA ISHARA NA UKALIMANI
(Amani Institute of Sign Language and Interpretation)
Aina: Binafsi | Usajili: REG/BTP/210P
Mahali: Halmashauri ya Jiji la Mbeya, Mbeya
Kozi Zinazopatikana:
Stashahada ya Kwanza katika Lugha ya Ishara na Ukalimani
(Ordinary Diploma in Sign Language and Interpretation)
Vigezo vya Kujiunga:
Wenye...
CHUO CHA UHANDISI NA TEKNOLOJIA CHA AL-MAKTOUM
(Al-Maktoum College of Engineering and Technology)
Aina: Binafsi | Usajili: REG/EOS/039
Mahali: Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam
Kozi Zinazopatikana:
Stashahada ya Kwanza katika Teknolojia ya Kompyuta na Habari
(Ordinary Diploma in Computing and Information Technology)
Vigezo vya Kujiunga:
...
Fahamu za kupata huduma za vyet RITA
1. Kupata Cheti cha Kuzaliwa
2. Kubadilisha Cheti cha Kuzaliwa (Old to New Birth Certificate)
3. Kuhakiki Cheti cha Kuzaliwa
4. Kupata Cheti cha Kifo
5. Kuhakiki Cheti cha Kifo
Fahamu Matumizi ya namba ya NIDA/NIN
· Kuombea Kitambulisho cha Mkaazi (ZAN ID)
. Kufungulia Bank Account
· Kuombea Udahili kwa baadhi ya Vyuo
· Kuombea Mkopo wa Elimu ya Juu ktk HESLB na/au ZHESLB
· Kuombea Ufadhili wa Masomo (Scholarships)
· Kuombea Kibali cha...
Fahamu Matumizi ya Cheti cha Kuzaliwa
· Kuombea Kitambulisho cha Taifa (NIDA ID) na/au Mkaazi (ZAN ID)
· Kuombea Udahili kwa baadhi ya Vyuo
· Kuombea Mkopo wa Elimu ya Juu HESLB na/au ZHESLB
· Kuombea Ufadhili wa Masomo (Scholarships) e.g SAMIA Scholarship,...
Bachelor in Optometry ni shahada ya kwanza inayomfundisha mwanafunzi kila kitu kinachohusu macho, kuona na teknolojia ya ukaguzi pamoja na matibabu ya matatizo ya macho. Hii ni taaluma muhimu sana, kwani matatizo ya macho yamekuwa yakiongezeka kwa kasi kutokana na...
Dialysis Technology ni taaluma ya sayansi ya afya inayomfundisha mwanafunzi namna ya kusimamia na kuendesha mashine za dialysis zinazotumika kwa wagonjwa wenye matatizo ya figo, hasa chronic kidney disease (CKD) au renal failure. Dialysis ni mchakato unaosaidia kusafisha damu ya mgonjwa pale figo zake haziwezi kufanya kazi ipasavyo.
Kozi ya...
Bachelor in Radiology ni shahada ya kwanza inayomfundisha mwanafunzi namna ya kuchunguza mwili wa binadamu kwa kutumia teknolojia za picha za kitabibu (medical imaging) kama vile X-ray, CT Scan, MRI, Ultrasound na teknolojia nyingine za kisasa. Ni taaluma muhimu sana katika mfumo wa afya...
Kabla ya kueleza faida za kusoma Masters nchini India, ni muhimu kufahamu fursa zilizopo. Kozi zinazopatikana ni nyingi na za kuvutia. Miongoni mwao ni Masters in Cyber Security, Masters in Artificial Intelligence, Masters in Construction Technology and Management, Masters in Cloud Computing, na Masters...
Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Optometry (BSO)
Pass 3 kutoka katika masomo ya Physics, Biology and Chemistry or Advanced Mathematics yenye jumla ya angalau point 6. mwombaji lazima awe na angalau
ufaulu wa "C"...








