HESLB Rais Samia Aongeza Mikopo ya Elimu ya juu Mwaka 2025
RAIS SAMIA AONGEZA MIKOPO ELIMU YA JUU KUTOKA BIL 464 HADI BIL 787 Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kutoka kiasi cha shilingi bilioni 464 katika bajeti ya mwaka 2024/2025 hadi kufikia TZS 787 Bilioni katika bajeti ya mwaka...
VITU vya Kwenda navyo Waliochaguliwa Kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria 2025
VITU vya Kwenda navyo Waliochaguliwa Kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria 2025, Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Nduku Mabele, anatoa wito kwa Vijana waliohitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Sita kwa mwaka 2025, kutoka Shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria Mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria kwa mwaka 2025. JKT imewataka vijana wote Waliochaguliwa...
Kozi zinazotolewa na chuo cha Mzumbe University (MU)
Institution Name: Mzumbe University (MU) Address: P. O. Box 1, Mzumbe, Morogoro E-mail: mu@mzumbe.ac.tz Website:mzumbe.ac.tz Accreditation Status: Accredited and Chartered Registration No.: CR1/011 KOZI ZINAZOTOLEWA NA CHUO KIKUU CHA MZUMBE UNIVERSITY (MU) Bachelor of Accounting and Finance in Public Sector Bachelor of Accounting and Finance in Business Sector Bachelor of Arts with Education Bachelor of Business Administration - Entrepreneurship and Innovations Management Bachelor of Business Administration in Marketing Management Bachelor...
Kozi zinazotolewa na Chuo Cha St Augustine University of Tanzania (SAUT)
Institution Name: St. Augustine University of Tanzania (SAUT) Address: P. O. Box 307, Malimbe, Nyegezi Mwanza E-mail: sautmalimbe@saut.ac.tz Website: www.saut.ac.tz Accreditation Status: Accredited and Chartered Registration No.: CR1/008 KOZI ZINAZOTOLEWA NA CHUO CHA ST AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA (SAUT) Bachelor of Science in Civil Engineering Bachelor of Business Administration Bachelor of Science in Procurement and Supply Chain Management Bachelor of Science in Tourism and Hospitality Management Bachelor of Science in...
Kozi zinazotolewa na chuo kikuu cha St Joseph University in Tanzania (SJUIT)
Institution Name: St. Joseph University in Tanzania (SJUIT) Address: P. O. Box 11007, Dar es Salaam E-mail: info@sjuit.ac.tz Website: www.sjuit.ac.tz Accreditation Status: Accredited Registration No.: CR1/023 KOZI ZINAZOTOLEWA NA CHUO CHA ST JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA (SJUIT) Bachelor of Engineering in Civil Engineering Bachelor of Engineering in Electrical and Electronics Engineering Bachelor of Engineering in Electronics and Communication Engineering Bachelor of Engineering in Computer Science Engineering Bachelor of Engineering in...
Orodha ya vyuo vikuu vilivyoidhinishwa na Tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU)
Orodha ya vyuo vikuu vilivyoidhinishwa na Tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU) 2025 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ilianzishwa tarehe 1 Julai, 2005 kupitia kupitishwa kwa Sheria ya Vyuo Vikuu, Sura ya 1. 346, yenye mamlaka ya kisheria ya kudhibiti taasisi za vyuo vikuu binafsi na zinazomilikiwa na umma nchini Tanzania. Hadi kufikia Machi 2025, idadi ya vyuo vikuu vilivyoidhinishwa...
Kozi Zinazotolewa Chuo Kikuu Cha Sokoine (SUA) Ngazi ya Shahada(Degree)
Kozi Vinazotolewa SUA Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kinatoa Kozi na Programu mbalimbali zinazoongoza kwa Cheti, Diploma, Shahada ya Kwanza, Shahada ya Uzamili na Uzamivu. Hii inaweza kuwa tiketi ya maisha na kazi yenye mafanikio. SUA inatambulika kote nchini na kwingineko kwa ubora wa ufundishaji wetu na uzoefu wa wanafunzi katika fani ya Kilimo, Sayansi ya Mifugo, Misitu...
Orodha Ya Kozi Bora Za Kusoma Chuo Kikuu Tanzania
Orodha Ya Kozi Bora Za Kusoma Chuo Kikuu Tanzania, Most Marketable Courses to study In Tanzania | Kozi Za Kusoma Chuo, Kozi Bora Chuo, Best Course, Jinsi Ya Kuchagua Kozi, Orodha ya Kozi Bora za Kusoma nchini Tanzania, Mwongozo huu utakusaidia kwani tunayo maelezo yote kuhusu Kozi Zinazolipwa Zaidi Tanzania. Mamilioni ya wanafunzi kote Tanzania husimama katika njia panda za taaluma...
Tahasusi za Arts kama HKL/HGL,HGK Wanazoweza Kusoma Chuo Kikuu 2025
UFAFANUZI WA BAADHI YA KOZI AMBAZO WALIOSOMA TAHASUSI ZA ARTS KAMA HKL/HGL/HGK/WANAWEZA KUZISOMA CHUO KIKUU UNASOMA CHUO KIKUU ILI KUKUZA UFAHAMU NA KUIMARISHA UWEZO FIKIRISHI WA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI YATAKAYORAHISISHA MAISHA. 1. Bachelor Degree in Project Planning and Management(Hapa unasoma ujuzi wa kutekeleza na kusimamia miradi ya maendeleo na kudhibiti matumizi ya fedha za mradi zitumike kiusahihi na mradi uishe kwa wakati...
Majina Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano Form five Selection 2025
Elimunasi.com Majina Waliochaguliwa Kujiunga Kidatocha Tano Form five Selection 2025: Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2025/2026 | Tamisemi Selform Selection. Haya Hapa Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano 2025, Vyuo vya Kati | Wahitimu 198,737 Wachaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano na Vyuo Mwaka 2025 – TAMISEMI Yatangaza. TAMISEMI (Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na...









