Home JESHI LA MAGEREZA Majina ya walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025

Majina ya walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025

396
0

Orodha ya majina ya waliotwa kwenye usaili wa Ajira za Magereza mwaka huu 2025

Jeshi la Magereza limetangaza majina ya waombaji ajira / kazi waliochaguliwa kushiriki kwenye usaili kwa mwaka 2025, hatua inayolenga kupata watumishi wapya watakaounganisha nguvu katika kulinda usalama na kusimamia haki za wahalifu waliopo magerezani.

BONYEZA HAPA KUPATA MAJINA YA WALIOITWA USAILI JESHI LAMAGEREZA 2025

Tangazo hili limeambatana na maelekezo ya muda, tarehe na maeneo ya kufanyia usaili, huku likisisitiza umuhimu wa wahusika kujitokeza wakiwa na nyaraka zote muhimu. Hatua hii inatoa nafasi kwa vijana waliomba nafasi hizo kuonyesha uwezo wao na hatimaye kuchaguliwa kujiunga na jeshi hilo lenye jukumu kubwa kwa taifa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here