Home HESLB Mambo Muhimu ya Kuzingatiwa Wakati wa Kuomba Mkopo HESLB

Mambo Muhimu ya Kuzingatiwa Wakati wa Kuomba Mkopo HESLB

11
0

Haya Hapa Mambo gani muhimu yanapaswa kuzingatiwa wakati wa kuomba mkopo HESLB.

  1. Hakikisha umesaini fomu ya maombi ya mkopo
  2. Hakikisha mdhamini wako amesaini fomu yako katika eneo lake
  3. Hakikisha fomu yako imesainiwa na kugongwa mihuri na Serikali ya Mtaa au Kijiji chako
  4. Hakikisha fomu yako imesainiwa na mwanasheria au hakimu kuthibitisha taarifa zako na za mdhamini wako


Vidokezo vya Kuongeza Nafasi Yako ya Kupata Mkopo

  • Hakikisha taarifa zote ni sahihi na zinalingana na admission yako.
  • Tumia index number sahihi ya NECTA.
  • Lipa ada kwa wakati ili usikose fursa.
  • Fuatilia status yako kwenye OLAMS mara kwa mara.
  • Ikiwa umekataliwa, unaweza kuomba appeal kwa kufuata taratibu.

Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti rasmi: https://www.heslb.go.tz/

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here