Home KOZI ZA VYUO VIKUU Kozi za Masters za Milioni 8 kwa Mwaka Nchini India

Kozi za Masters za Milioni 8 kwa Mwaka Nchini India

15
0

Kabla ya kueleza faida za kusoma Masters nchini India, ni muhimu kufahamu fursa zilizopo. Kozi zinazopatikana ni nyingi na za kuvutia. Miongoni mwao ni Masters in Cyber SecurityMasters in Artificial IntelligenceMasters in Construction Technology and ManagementMasters in Cloud Computing, na Masters in Industrial Chemistry. Wanaopendelea masuala ya sayansi ya maisha wanaweza kusoma Masters in BiotechnologyMasters in Public HealthMasters in Clinical PsychologyMasters in PhysiotherapyMasters in Nursing (katika maeneo maalumu ya Community Health, Medical & Surgical, Obstetric and Gynaecological, Paediatrics, Psychiatric au Critical Care), pamoja na Masters in Radiotherapy.

Kwa wale wenye shauku ya teknolojia na takwimu, kuna nafasi za kusoma Masters in Data ScienceMasters in BioinformaticsMasters in Statistics, na pia Masters in Mechanical Engineering with specialization in Robotics. Sekta ya biashara na uongozi pia imetengewa nafasi maalum kupitia MBA dual specialization katika maeneo kama Logistics, Supply Chain Management, International Business, Digital Marketing, IT, Business Analytics, HR, na Finance. Aidha, kozi za Masters in Energy Management and SustainabilityMasters in Petroleum Engineering, na Masters in Commerce zinawapa wanafunzi mbadala wa kisasa wenye tija kubwa katika soko la ajira.

Kwa upande wa masuala ya kijamii na sera, zipo kozi kama Masters in International RelationsMA in Peace and Conflict Management, pamoja na Masters of Science in Health Economics and Technology Assessment. Wanafunzi wa sheria nao wanaweza kujiunga na Masters in Law (LLM) ya mwaka mmoja au miwili, kwa utaalamu katika maeneo kama Alternative Dispute Resolution, Business and Corporate Law, Criminal and Security Law, Constitutional and Administrative Law, Environmental Laws, Intellectual Property Rights, International Human Rights, International Laws, na Public Policy and Governance.

Aidha, wapo wanaopenda fani za ubunifu na uhandisi ambao wanaweza kuchagua Masters in Interior and Product Design, au Masters in Agronomy kwa upande wa kilimo cha kisasa. Kwa upande wa afya ya jamii na tiba, Masters in Pharmacy hutoa utaalamu maalum katika Pharmacology, Pharmaceutical Chemistry, Pharmaceutics, Pharmaceutical Quality Assurance, na Pharmacognosy. Ni muhimu kukumbuka kwamba baadhi ya kozi hizi, hasa kwenye uwanja wa Pharmacy, Law na Health Economics, zinagharimu takribani milioni 10 kwa mwaka ikiwemo ada, malazi na chakula.

Kutoka Akili Education 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here