Orodha ya Shule za Sekondari za Jeshi Tanzania
JWTZ na JKT zimeanzisha shule kadhaa za sekondari katika mikoa tofauti Tanzania. Hapa chini tumekuletea orodha ya shule hizo pamoja na maeneo ambao shule hizo zipo: Shule ya Sekondari Makongo – Dar es Salaam Shule ya Sekondari Air Wing – Dar es Salaam Shule ya Sekondari Navy – Dar es Salaam Shule ya Sekondari Kizuka – Morogoro Shule ya...
Kozi za Degree Zenye Kipaumbele Kupata Mkopo HESLB
Priority Courses for HESLB Loan 2025/2026 – Bachelor Degree: List Kozi Zenye Kipaumbele Kupata Mkopo Bachelor Degree 2024/2025. Minister of Education, Science and Technology Prof. Adolf Mkenda has launched the guidelines for issuance of loans and grants for the academic year 2024/2025 and reminded students to study hard to take advantage of the opportunities provided by the government through...
Nafasi za Kujiunga na Vyuo vya Ualimu wa Awali na Msingi 2025/2026
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA AWALI NA MSINGI KWA MWAKA WA MASOMО 2025/2026 Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (WyEST) anatangaza nafasi za Mafunzo ya Ualimu ya Stashahada ya Ualimu Elimu ya Awali na Msingi. Mafunzo yatakayotolewa ni Stashahada ya Ualimu Elimu ya Awali, Msingi na Elimu Maalumu (Miaka...
TCU Guidebook for Bachelor Degree 2025/2026
Pakua Mwongozo wakufanya maombi vyuo vikuu wa mwaka wa masomo 2024/2025: Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) huandaa Mwongozo kwa wombaji wa Vyuo Vikuu Shahada ya Kwanza ili kuwaongoza waombaji/wanafunzi, wazazi/walezi na wafadhili kuhusu taratibu na vigezo vya udahili. Kitabu cha Mwongozo kinakusudiwa zaidi kutoa habari kuhusu taasisi zinazotoa digrii/programu mbalimbali kwa kubainisha vigezo kulingana na kozi husika. Bonyeza hapa kupakua mwongozo
Orodha ya Tahasusi (Combination) Mpya na Kada zake
Maboresho ya Tahasusi Katika Utekelezaji wa Zoezi la Uchaguzi wa Wamafunzi Watakaojiunga na Kidato cha Tano ORODHA YA TAHASUSI ZA KIDATO CHA TANO ZITAKAZOTUMIKA KUANZIA MWEZI 2024 Na. MASOMO A: TAHASUSI ZA SAYANSI YA JAMII 1 History, Geography and Kiswahili (HGK) 2 History, Geography and English Language (HGL) 3 History, Geography and French (HGF) 4 History, Kiswahili and English Language (HKL) 5 History, Geography and Arabic (HGAr) 6 History, Geography and Chinese (HGCh) 7 History, Geography and...
Jinsi ya kupata namba ya NIDA online 2025 (Kwa Haraka)
Kuna njia mbalimbali unazoweza kutumia kupata namba yako ya NIDA mtandaoni, bila kujali unatumia simu ya kawaida au simu janja. Zifuatazo ni njia kuu za kupata namba yako ya NIDA: 1. Kupitia Tovuti Rasmi ya NIDA Hatua za kufuata: Fungua kivinjari kwenye simu yako au kompyuta na utembelee tovuti rasmi ya NIDA kwa kubofya hapa au https://services.nida.go.tz/nidportal/get_nin.aspx. Jaza taarifa unazohitajika, ikiwa ni pamoja na: ...
Jinsi Ya Kuomba Mkopo Wa Elimu Ya Juu HESLB 2025/2026
Tembelea tovuti ya OLAMS kwa kufungua kivinjari chako cha mtandao na kuingia kwenye HESLB OLAMS kupitia kiungo “https://olas.heslb.go.tz“. Kwenye ukurasa wa mwanzo, bonyeza “Omba Mkopo” na uchague kama wewe ni mwanafunzi wa NECTA au si mwanafunzi wa NECTA. Mara tu unapochagua kati ya “NECTA” au “Non-NECTA,” utaona fomu ya kujisajili. Hakikisha kuwa umejaza taarifa zote muhimu kwa usahihi. Weka nyaraka...
Jinsi ya Kuangalia Kama Umepata Mkopo HESLB 2025/2026
Fahamu kuhusu wanafunzi ambao wameomba mkopo wa elimu ya juu kupitia HESLB wanaweza kufuatilia matokeo ya maombi yao kwa njia mbili kuu. Njia hizi ni rahisi na zinatoa taarifa sahihi kuhusu kama mwanafunzi amepata mkopo au la. Kuangalia Kupitia Akaunti ya SIPA (Student’s Individual Permanent Account) HESLB inatumia mfumo wa SIPA kwa ajili ya wanafunzi wote waliotuma maombi ya mkopo. Akaunti...
Namba za Simu za Wakuu wa Shule Za Kutwa Na Bweni Tanzania
Namba za Simu za wa kuu wa shule Tanzania mzina| Tamisemi namba za simu za wakuu wa shule za kutwa na bweni Tanzania |Shule za senkondari na shule za Msingi TAMISEMI NAMBA ZA SIMU ZA WA KUU WA SHULE TANZANIA NAMBA ZA SIMU ZA WA WAKUU WA SHULE TANZANIA DOWNLOAD HERE EXAM
HESLB Vipengele na viwango Vya Mikopo itakayopangwa Mwaka 2025
Waombaji waliofaulu wa mkopo watafadhiliwa kiasi sawa na uhitaji uliowekwa au inavyoweza kuamuliwa na Bodi. Kiwango cha juu cha mkupuo kilichowekwa kitakuwa kusambazwa kwa bidhaa za mkopo kulingana na mlolongo ufuatao: chakula (Milo) na Malazi (MA), Ada ya Masomo (TF), Vitabu na Gharama za uandishi (BS), Mahitaji Maalum ya Kitivo (SFR), Gharama za Utafiti (RES) na hatimaye Field Practical Mafunzo (FPT). Kumbuka: HESLB haitoi mikopo kwa asilimia badala...










