Maombi ya Udahili Chuo Kikuu cha Muslim University of Morogoro (MUM Application 2025/2026)
Jinsi ya Kutuma Maombi ya Udahili wa Chuo Kikuu cha Muslim University of Morogoro kwa Mwaka wa Masomo 2025/2026 (MUM Application 2025/2026) Chuo Kikuu cha Muslim University of Morogoro (MUM) ni taasisi ya elimu ya juu iliyoanzishwa mwaka 2004 na Muslim Development Foundation (MDF). Chuo hiki kimejikita katika kutoa elimu bora inayozingatia maadili ya Kiislamu na kinatoa programu mbalimbali za...
Maombi ya Udahili Chuo Kikuu cha St. Joseph 2025/2026 (SJUIT Application 2025/2026)
Jinsi ya Kutuma Maombi ya Udahili wa Chuo Kikuu cha St. Joseph kwa Mwaka wa Masomo 2025/2026 (SJUIT Application 2025/2026) Chuo Kikuu cha St. Joseph nchini Tanzania (SJUIT) ni taasisi ya elimu ya juu inayotoa programu mbalimbali za shahada za kwanza katika nyanja za uhandisi, sayansi ya kompyuta, elimu, na tiba. Kwa wale wanaotamani kujiunga na SJUIT kwa mwaka wa...
Jinsi ya Kuingia Kwenye Portal ya RITA portal login
Tembelea Tovuti ya RITA: Fungua kivinjari na nenda kwenye tovuti rasmi ya RITA. Tafuta Sehemu ya Portal: Bonyeza kiungo cha “Portal” au “Ingia” kwenye ukurasa wa mwanzo. Ingiza Taarifa za Mtumiaji: Andika jina lako la mtumiaji na neno la siri katika sehemu WAZI. Bonyeza Kitufe cha “Ingia“: Baada ya kujaza taarifa, bonyeza kitufe cha “Ingia” ili kuingia kwenye akaunti yako. Huduma...
NACTVET verification online Award Verification Number (AVN) kupitia NAVS
Katika mfumo wa elimu ya juu nchini Tanzania, hususan elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi (TVET), Mamlaka ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) imeweka mfumo rasmi wa kuthibitisha taarifa za wanafunzi kwa njia ya mtandao. Mfumo huu unawasaidia wanafunzi, taasisi za elimu, waajiri na wadau wengine kuthibitisha uhalali wa usajili na sifa za kielimu...
Orodha ya Vyuo Vinavyotoa Kozi ya Sheria (Law) Tanzania
Bachelor 1 Bachelor of Arts in Law Enforcement University of Dar es Salaam (UDSM) 2 Bachelor of Laws University of Dar es Salaam (UDSM) 3 Bachelor of Arts in Law Enforcement University of Dar es Salaam (UDSM) 4 Bachelor of Laws University of Dar es Salaam (UDSM) 5 Bachelor of Laws Catholic University of Mbeya (CUoM) 6 Bachelor of Laws Jordan University College (JUCo) 7 Bachelor...
Kozi Zinazotolewa Tandabui Institute of Health, Science & Technology
ZIFAHAMU KOZI ZINAZOTOLEWA Clinica Medicine Pharmaceutical Science Medical Laboratory Community Development Social work Nursing & Health Record. Mawasiliano Only 5 km from Mwanza City Center, Nyakato, Mwananchi Area (Adjacent to Roman Catholic Church) Week Days: 8:00am – 5:00pm Saturday: 9:00am – 1:00pm +255 677 020 218 +255 677 020 206 +255 677 020 205 info@tihest.org P.O.Box 1719, Mwanza, Tanzania. Apply kupitia: www.tihest.org
kuhama-kwa-ofisi-za-nactvet-makao-makuu
KUHAMA KWA OFISI ZA NACTVET MAKAO MAKUU Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi ( NACTVET) linapenda kuwataarifu wadau na wananchi kwa ujumla kuwa , Ofisi za NACTVET Makao Makuu zilizokuwa Jengo la NSSF, Ghorofa ya 3, Kilimani Dodoma, sasa zimehamia Mji wa Serikali Mtumba, Jengo la Jiji la Dodoma, Ghorofa ya 1. Huduma zote za NACTVET...
Ajira 150 Walimu Daraja IIIB Somo La Hisabati (Mathematics)
POST DETAILS POST MWALIMU DARAJA LA III B - HISABATI (MATHEMATICS) - 150 POST EMPLOYER MDAs & LGAs APPLICATION TIMELINE: 2025-06-13 2025-06-26 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa; ii.Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia; iii.Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi; iv.Kusimamia na kufuatilia mahudhurio...
Namba za Dharura Tanzania
Namba za Dharura Tanzania KUZUIA UHALIFU 111 POLISI 112 TAKUKURU 113 ZIMAMOTO 114 GARI YA WAGONJWA 115 MSAADA KWA MTOTO 116
Jinsi Ya Kuangalia Matokeo Ya Kidato Cha Sita 2025/2026
NECTA imejitahidi kurahisisha upatikanaji wa matokeo kuanzisha njia mbalimbali za kuangalia. Wanafunzi, wazazi, na wadau wote wa elimu sasa wanaweza kutumia njia hizi kupata taarifa muhimu kuhusu matokeo haya kwa haraka na urahisi. Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Kupitia Mtandao (Online) Njia rahisi na inayopendelewa na wengi ni kuangalia matokeo ya Kidato cha Sita 2024 kupitia mtandao. Baraza la...











