Rasmi TCU (Tume inayosimamia Vyuo Vikuu Tanzania) imerelease GUIDEBOOK ya Mwaka Huu 2026/2027 itakayowasaidia Wanafunzi Kuchagua Kozi kulingana na Ufaulu wao na kuzingatia Cutting points zilizowekwa na Vyuo Husika.
Pakua Mwongozo wakufanya maombi vyuo vikuu wa mwaka wa masomo 2024/2025: Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) huandaa Mwongozo kwa wombaji wa Vyuo Vikuu Shahada...