Fahamu Matumizi ya namba ya NIDA/NIN
· Kuombea Kitambulisho cha Mkaazi (ZAN ID)
. Kufungulia Bank Account
· Kuombea Udahili kwa baadhi ya Vyuo
· Kuombea Mkopo wa Elimu ya Juu ktk HESLB na/au ZHESLB
· Kuombea Ufadhili wa Masomo (Scholarships)
· Kuombea Kibali cha TCU (NOC Certificate) endapo utaenda kusoma Abroad
· Kuombea Ajira kwenye Taasisi za Serikali na/au Binafsi
· Kuombea Death Certificate ya Mzazi wako endapo ametangulia mbele za haki etc.







